Hapa ndipo kipindi cha Chereko Chereko kinapotayarishwa katika Studio ya kisasa ya 2BONDO's PRODUCTIONS. |
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi kwa picha na mgeni wake, Shabani Mbegu (picha ya kati ) ambaye alifika katika Studio hizo kwa ajili ya kuandaa kipindi cha Chereko Chereko kitakachorushwa hewani siku ya jumapili tarahe 22-7-2012 kuanzia saa moja kamili jioni mpaka 7: 45 katika kituo cha Televisheni cha TBC. Kipindi hiki kitaanza kuonekana tena baada ya kusimama kwa kipindi cha mwaka mmoja na sasa kimerudi tena katika muonekano mpya baada ya kuboreshwa.
No comments:
Post a Comment