HAFLA HIYO FUPI YA UFUNGUZI AMBAYO ITAWAJUMUISHA WAAFRIKA MASHARIKI, INA LENGO LA KUPANUA WIGO WA SHUGHULI ZA BENKI YA KCB HAPA UINGEREZA, KUTANGAZA SHUGHULI ZA UTENDAJI WAKE KATIKA KUWASAIDIA WANANCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA KUWEKEZA KIBENKI, KUFUNGUA AKAUNTI ZA AINA TOFAUTI, KUJIWEKEA AKIBA, KUWEKEZA NYUMBANI (TANZANIA), NJIA MBALIMBALI ZA KUTUMA NA KUPOTEKEA PESA KWA NJIA YA MTANDAO (INTERNET), KUTUMA PESA KWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI (MOBILE PHONES), IPADS NA NYINGINEZO.
HALFA HIYO , ITAFANYIKA SIKU YAJUMAMOSI 4 AUGUST 2012, KUANZIA SAA 16:00pm,
No comments:
Post a Comment