BAADA ya picha za Msanii Rayuu kuvunja mtandaoni na kudaiwa kuwa amefukuzwa kwao kutokana na sakata hilo huku akipata makazi ya muda kwa mkurungezi wake Mr Chuzi ambaye mara nyingi amekuwa akimshauri kuachana na vitendo vinavyoweza kumchafulia jina lake amefunguka na kusema.
Waliofanya hivyo (kupeleka taarifa na picha kwa wazazi wake) ni watu ambao mara nyingi wamekuwa wakifanya kazi pamoja kwa kile alichodai ni kumuonea wivu katika hatua alizopiga kuelekea mafanikio kisanaa
"mwanzo sikufahamu walikuwa na lengo gani lakini sasa nimetambua kuwa ilikuwa ni wivu tu unawasumbu baada ya kuona siku hizi nauza kuliko wao"
No comments:
Post a Comment