Staa Sara Kaisi Msanii wa Bongo Flava Shaa anayewakilisha vizuri Tanzania Kupitia Muziki baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Baada ya kuachia single yake ya Mwisho Siri Ya Penzi na nyingine nyingi Siku Ya tarehe 28.01.2013 Ataachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la''PROMISE''.
Ngoma hiyo ambayo mashahiri yake yameandikwa na Barnaba na kutayarishwa na ProducerManeck wa Am Records. Shaa ametupia cover ya ngoma hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook
"#Promise #NewSingle By Shaa Official release date is 28/01/2013
"#Promise #NewSingle By Shaa Official release date is 28/01/2013
No comments:
Post a Comment