.

.

.

.

Saturday, February 28, 2015

MPAGAWISHO WA SKYLIGHT BAND


DSC_0004
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi.

DSC_0008
Sam Mapenzi katika hisia kali kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village-Masaki jijini Dar.
DSC_0014
I’m Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I, Love You,….(Aiyayaaaaa)
I’m Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You,…..(Aiyayaaaaa)..I’m Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You, (Aiyayaaaaa),…I’m Going Koo Koo, Na Sijishuku I, I Love You…...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (katikati) kwa kushirikiana na Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village, Ijumaa iliyopita huku Ashura Kitenge akipiga back vocal.
DSC_0019
Baby Take Me, Nitembee Nawe……. burudani ikiendelea.
DSC_0026
Ashura Kitenge (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku Aneth Kushaba AK47 na John Music wakimpa sapoti ya back vocal.
DSC_0041
When Jesus say, “Yes,” nobody can say, “No.”…..When Jesus say, “Yes,” nobody can say, “No.”…. njoo umshuhudie Aneth Kushaba AK47 anavyoitendea haki hii nyimbo leo.
.
30
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na burudani kali iliyoenda shule yenye viwango na ubora wa kimataifa ndani ya kiota cha Thai Village ni kila Ijumaa ya wiki kuanzia saa tatu usiku mpaka usiku mwingi.
DSC_00891
Ni Raha Tupu
DSC_0068
Mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak.

No comments:

Post a Comment