.
.
Saturday, May 02, 2015
ZARI ALL WHITE PARTY AT MLIMANI CITY
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku wa jana.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Kutoka kulia ni Ritha Paulsen na Idrisa na kushoto ni Ney wa Mitego na Sheta pamoja na wanamuziki wengine wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Jambo Concept Juma Pindo kushoto akijadiliana jambo na Ritha Paulsen katika hafla hiyo.
Diamond Platnumz
akishika kitumbo cha Mpenzi wake ambaye inasemekana ni mjamzito
.
Baadhi ya warembo waliotoa huduma katika hafla hiyo.
Mashabiki wa Diamond na Zari wakiwa wamefurika kwenye hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment