Simon Cowell amemushawishi mwanadada machachari katika ulimwengu wa muziki Britney Spears kutokea katika X-FACTOR desemba mwaka huu sambamba na ujio wa albamu yake ya CIRCUS.
Hiyo itakuwa mara ya kwanza Nchini Uingereza toka alipokuja kwenye ziara ya ONYX miaka minne iliyopita.
No comments:
Post a Comment