.

.

.

.

Friday, September 19, 2008

GAZZA ALALA RUMANDE


Mcheza mpira nyota wa zamani wa Timu ya taifa ya Uingereza Paul Gascoine "Gazza"anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa maeneo ya Ravensworth road , Dunston. Magazeti mengi ya Ukerewe jana yalikuwa na picha ya Gazza akijaribu kuingia moja ya Pub takribani saa nne kasoro robo asubuhi. Tatizo kubwa alilonalo hivi sasa ni ulevi wa kupindukia na mwezi februari mwaka huu alizuiwa kwa mujibu wa sheria ya matatizo ya akili.

No comments:

Post a Comment