.

.

.

.

Monday, September 15, 2008

SALAT


Waislamu wote mnatangaziwa kuwa salat Taraweeh itasaliwa katika chuo cha Manor Park nyuma ya duka la Saadi baada ya ISHA saa tatu na nusu usiku kila siku. Kwa habari zaidi wasiliana na Maalim Abdallah 07828804152

No comments:

Post a Comment