.

.

.

.

Thursday, November 13, 2008

HAKUNA KISICHOWEZEKANA DUNIANI

Pichani ni Rais mteule wa Marekani Barack Hussein Obama akiwa na bibi yake upande wa baba nchini Kenya alipotembelea mara ya kwanza kijijini alipotoka baba yake mzazi ,mgongoni amebeba gunia lenye mazao toka shambani kwa bibi yake.

No comments:

Post a Comment