.

.

.

.

Saturday, November 15, 2008

MISS TZ 2008 AKABIDHIWA BENDERA

Waziri wa mambo ya ndani Mh Laurence Masha akimkabidhi miss tanzania 2008 Nasreen Karim bendere ya uwakilishi katika hafla fupi ya kumuaga rasmi mlimbwende huyo iliofanyika nje ya kituo cha uwekezaji Tanzania a.k.a TIC,wakiwemo wadau mbalimbali wa urembo na kutakiwa kuwa balozi mzuri katika mashindano ya Dunia yatakayofanyika Afrika Kusini baadaye mwezi ujao

No comments:

Post a Comment