.

.

.

.

Friday, November 28, 2008

SUPER MODEL -FILAMU YA KISWAHILI








SUPER MODEL-FILAMU YA KISWAHILI

Super model Sasha(Cutie Malisa) ni mrembo aliekuwa kileleni mwa mafanikio,nafasi ambayo kila mschana wa leo angependa kuwa nayo.

Pressure ya kazi pamoja na kutojiamini kunampelekea Sasha ajiingize katika utumiaji wa madawa ya kulevya hatimae mrembo Sasha anapoteza kila alicho kijali na kukipenda vikiwemo mumewe mpenzi Brian(Tito Zimbwe) ajira yake ya uanamitindo ambayo ndiyo iliyo muweka mjini Dar es salaam katika maisha ya kifahari na kumpatia umaarufu mkubwa.

Baada ya kukataa ukweli kwa muda mrefu Sasha anabaini kwa rafiki yake mpenzi Gabriella (Chuchu Hans) kama ameathirika na madawa ya kulevya na kukata tama ya maisha baada ya kukiri kuwa alijaribu kwa muda mrefu na kushindwa kuachana na tabia hiyo

Jee Gabriella atachukua uamuzi gani kunusuru maisha ya Sasha? Ujio wa Mudrik(Khalfan Ahmed”Kelvin”) utabadilisha vipi muelekeo wa maisha ya Sasha?
Nini kitamfanya Sasha atambue kama umaarufu na urembo ni vitu vya kupita?
Nini jamii itajifunza toka kwa mlimbwende Sasha?

KWA MAJIBU HAYO NA MENGINE MENGI JIPATIE NAKALA YAKO HALISI

FILAMU INA SUBTITTLES KATIKA LUGHA ZA
ENGLISH
FRENCH
ARABIC
PORTUGUESE

KWA WATEJA WA TANZANIA FILAM ZINAPATIKANA KATIKA MADUKA
YOTE YA FILAMU.

WATEJA WA UK NA NCHI ZOTE EUROPE NA PANDE ZOTE ZA DUNIA WASILIANA NASI KATIKA
timelinemedialtd@gmail.com
+447971224493-Nasir


FILAM ZITAPATIKANA KWENYE SHEREHE YA UHURU WA TANZANIA ZITAKAZO AMBATANA NA ONYESHO LA JAHAZI MODERN TAARAB LIKIONGOZWA NA MZEE YUSUPH HAPO SIKU YA 13 DECEMBER 2008 KATIKA UKUMBI WA SILVERSPOON PEMBENI YA "WEMBLEY STADIUM"

BEI ITAKUA £5


KUONA TRAILER INGIA BONGOFILMS KATIKA YOUTUBE NA UCHAGUE “SUPER MODEL”

No comments:

Post a Comment