.

.

.

.

Wednesday, December 31, 2008

ATCL YARUHUSIWA KURUSHA NDEGE ZAKE

Hatimaye lile sakata la mapipa ya angani ya Tanzania kufungiwa sasa itabaki hadithi baada ya IATA kuruhusu kwa mapipa kula mawingu baada ya ATCL kutimiza masharti yote iliyotakiwa yatimizwe.

No comments:

Post a Comment