
Toka kushoto ni Devonte,Joe Lewis Thomas na Tanto Metro wakizungumza na waandishi wa habari leo jioni ndani ya hotel ya kempisk kuhusiana na onesho lao litakalofanyika kesho usiku kwenye viwanja vya lidaz club
.
Wasanii watatu wa kamataifa wametua jana akiwemo Joe Lewis Thomas kutoka nchini Marekani,Devonte pamoja na Tanto Mentro kutoka Jamaica ambao wanatarajiwa kufanya onesho lao viwanja vya Lidaz Cluba kesho usiku.Aidha imeelezwa kuwa pia kundi la wasanii wengine kutoka nyingine Marekani lijulikanalo kwa jina la Boyz II Men pamoja na msanii mwingine wa kike kutoka nchini Jamaica Tanya Stevens wanatarajia kutua kesho mnamo majira ya saa moja asubuhi kwa ajili ya onesho hilo la usiku

.Wasanii watatu wa kamataifa wametua jana akiwemo Joe Lewis Thomas kutoka nchini Marekani,Devonte pamoja na Tanto Mentro kutoka Jamaica ambao wanatarajiwa kufanya onesho lao viwanja vya Lidaz Cluba kesho usiku.Aidha imeelezwa kuwa pia kundi la wasanii wengine kutoka nyingine Marekani lijulikanalo kwa jina la Boyz II Men pamoja na msanii mwingine wa kike kutoka nchini Jamaica Tanya Stevens wanatarajia kutua kesho mnamo majira ya saa moja asubuhi kwa ajili ya onesho hilo la usiku

Picha kwa hisani ya Global Publishers
No comments:
Post a Comment