.

.

.

.

Friday, February 06, 2009

MSIBA JIJINI LONDON


Familia ya Dausen Munis wa Kunduchi Dar-es-Salaam inasikitika kutangaza kifo cha binti yao Laura Dausen Munis-Mesaque kilichotokea tarehe 2/2/2009 huko Acton Town Uingereza.
Anuani ya alipokuwa akiishi ni;
42 Caine Rd,
Hanbary Road,
W3 8RE.

Marehemu Laura alifariki nyumbani kwake alfajiri na chanzo halisi cha kifo bado kinafanyiwa uchunguzi wa kitaalamu (Autopsy). Marehemu ameacha watoto wanne.Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kupelekwa kilimanjaro kwa mazishi inafanywa.Familia ya Munis inachukua fursa hii kuomba michango ya hali na mali ili kusafirisha mwili wa marehemu kwa mazishi. Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki tunaombwa kutoa rambirambi zetu kwa kuwafariji wafiwa. Akaunti maalum kwa ajili ya kusaidia kusafirisha mwili wa marehemu na mipango ya mazishi kwa ujumla imefunguliwaLloyds TSB.Name on account:
Clement Kikenya (Ref:Acc for Laura)
Sort Code# 30-97-25 Acc # 18197760


Sidi Kikenya (UK) 07932438234
Heri Ntimizi (UK) 07930484260
Edna Munis (UK) 788 2052 473

---------------------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment