.

.

.

.

Saturday, May 07, 2011

DIASPORA III KATIKA PICHA

Mwenyekiti mstaafu wa TA Nd.Abubakar Faraji ambaye ndiye alikuwa MC wa mkutano akisalimiana na afisa kutoka ubalozi wetu hapa UK Nd. Allen Secondary hapo jana kabla ya mkutano wa Diaspora kufunguliwa.
Mh Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa katika wizara ya kazi, wabunge wa CUF na CCM na Balozi wa Tanzania na naibu wake
Mh Waziri Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa TA
Mh Waziri Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa ubalozi wa Tanzania UK


Picha kwa hisani ya JESTINA GEORGE

No comments:

Post a Comment