.

.

.

.

Friday, February 06, 2009

Wamasai...........

Biashara ya madawa ya asili imetekwa kwa kiwango kikubwa na watu wa jamii ya kimasai kama ambavyo wanaonekana pichani wakiuza dawa hizo Gongolamboto Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment