.

.

.

.

Wednesday, March 18, 2009

MALLYA AHUKUMIWA MIAKA 3

Deus Mallya dereva wa Marehemu Chacha wangwe, Mbunge wa Tarime aliyekufa katika ajali njiani akitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam, amehukumiwa miaka mitatu jela na Hakimu Mkazi wa Dodoma.
Mallya amekutwa na hatia ya kuendesha gari bila leseni na kusababisha kifo cha Mbunge huyo.Wakili aliyekuwa anamtetea, Godfrey Wasonga alijikuta akitokwa na machozi baada ya mahakama kutamka kuwa imemtia hatiani kwenye mahakama hiyo ambayo ilifurika watu wengi waliofika kusikiliza hukumu hiyo.

No comments:

Post a Comment