![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSIwod-G1h1GtOblPzMk4hjegjBGbYXUsLxtyLaFoKRGGt_DwvOI0sQZKdwPG4Oc0Kwx7qvyb3fpets2cs3qin2Vg-_btw-CmfX4T62OEaDyQ565I5Rj5a09QaH1-Mb7aj8zAhyphenhyphennnQsgQ/s400/10.JPG)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQvpiTb1wjnlsSqau04WkldVAO0pMrv7Oppmm-iciS1b-QJEqqKzzAGFJ_qeBBshjc5BUV-kDC5YZ1T39Qzd4fJTeKm_0mlbNxP0cbxQKioIAc4uOVpeq5Lt6Tz24pVyHmls7Pe2hkrIE/s400/1238325799_7.jpg)
Mpambano wa kumtafuta mwanaume mkali zaidi Bongo 009 ‘The most handsome man Tanzania’ ulifanyika juzi usiku ndani ya Hoteli ya New Africa katikati ya Jiji la Dar es Salaam ambapo kijana
Khalid Mohamed(kati picha ya juu) ameibuka kidedea kati ya vijana 11 waliokuwa wakichuana. Khalid atakamata Dola 1000 na kufanyiwa Shopping katika maduka ya Zizzou Fashion. Shindano hilo liliandaliwa na Angels Entertainment na kudhaminiwa na British Council, C2C ‘Mtu kwao’, I&R Identity, Ijumba Enterprises, Wapi na Michuzi Blog.
Baadhi ya mashabiki waliokuwepo kwenye shindano hilo
No comments:
Post a Comment