NURU MAGRAM sister wa ngoma ya Msela...ngoma iliyoshika kinoma bila kusahau singo yake ingine 'walimwengu' kwa sasa yupo kimya kidogo lakini kwa mujibu wa habari za chini ya carpet binti hivi sasa anajishughulisha na modelling...! kwa habari zake mtembelee kwenye blogu yake murua na matata www.nuruthelight.blogspot.com
nimetoa nyimbo mpya inaitwa kwanini...the video is gon be out next week..hollerrrr
ReplyDelete...checked out your video on youtube - its gorgeous!!
ReplyDelete