.

.

.

.

Tuesday, March 31, 2009

GOVERNOR GENERAL WA AUSTRALIA

GOVERNOR GENERAL wa Australia Mhe. Quentin Bryce akikaguwa gwaride la heshima la jeshi la Wananchi wa Tanzania alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu ya kiserikali Tanzania.

No comments:

Post a Comment