.

.

.

.

Thursday, April 02, 2009

AJALI CHALINZE

Baadhi ya wakazi wa Chalinze Mkoa wa Pwani wakiangalia tela lenye namba za usajili T 387 AHT lililokuwa kwenye gari lenye namba za usajili T 294 AHU ambapo lilikatika na kuacha njia na kuingia katika nyumba juzi. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment