.

.

.

.

Wednesday, July 18, 2012

PICHA ZA AJALI YA MELI SKAGIT ZANZIBAR


  Meli ya  Mv Skagit ikiwa imeshazama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250 juu ni baadhi ya waokoaji wakiwa tayari kutoka huduma ya kwanza

Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
 Waokoaji wakiokoa moja ya maiti. wakiwa katika boti ya Kilimanjaro. 
  Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
 Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya chombo cha kuokolea wakielea baharini wakisubiri kuokolewa.
 Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la kuokowa majeruhi.

2 comments:

  1. poleni sana ndugu zangu!MUNGU awape nguvu.

    ReplyDelete
  2. aisee ni mbaya.tujifunze kuhesabu siku zetu

    ReplyDelete