.

.

.

.

Thursday, April 02, 2009

JIMELI BADO KUKWAMULIWA

Meli ya MSC Federica ikiwa imkwama kwa siku ya pili baada ya kuingia pembezoni mwa pwani ya Kigamboni. Inadaiwa ilikuwa almanusura kwani inasemekana ilikuwa ibamize soko la kimataifa la Ferry lakini likaponea kwa jitihada za nahodha wa Jimeli hilo.

No comments:

Post a Comment