.

.

.

.

Monday, May 11, 2009

MH.PINDA WILAYANI SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Daniel Ole Njoolay wakitazama mahindi wakati walipotembelea shamba la gereza la Mollo wilayani Sumbawanga. Mheshimiwa Pinda alikuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya kilimo mkoani Rukwa.

No comments:

Post a Comment