.

.

.

.

Tuesday, May 12, 2009

MSIMU WA SOKO LA TUMBAKU


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dk. Christine Ishengoma (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Tumbaku Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa wakizindua msimu mpya wa soko la tumbaku kwenye Kijiji cha Mgombasi wilayani Namtumbo mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment