.

.

.

.

Sunday, June 07, 2009

ALBAMU YA MWANA DAR-ES-SALAAM YAZINDULIWA

Mwigizaji maarufu wa Filamu nchini Irene Uwoya na rafiki yake shamu pia walijitokeza katika uzinduzi wa Albamu ya MWANA DARESSALAAM kutoka bendi ya African Stars wana Twanga pepeta kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana usiku.

Kimwana wa Twanga pepeta aliyemaliza muda wake Halima bonge (kulia) akipozi kwa picha na rafiki yake wakatiwa uzinduzi wa Albam ya African Stars Mwana Dar es alaam usiku wa jana.


Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka() kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Waziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Bi Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa Albam ya Mwana Dar es alaam iliyozinduliwa jana usiku kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.


No comments:

Post a Comment