.

.

.

.

Friday, June 19, 2009

CHAMA CHA RIADHA CHAPEWA MIL.18

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya kuhudumia makontena bandarini (Ticts), Neville Bissett akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Taifa, Suleiman Nyambui mfano wa hundi ya sh. milioni 18 ikiwa ni udhamini wa kampuni hiyo kwa mashindano ya taifa ya riadha yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar wiki ijayo. Wanaotazama ni Katibu Mkuu Msaidizi wa RT Julius Musomi na Afisa Biashara wa Ticts, Jay New.

No comments:

Post a Comment