.

.

.

.

Wednesday, June 17, 2009

FULLSHANGWE BLOG KUDHAMINI MISS HIGHERLEARNING

Mkurugenzi wa "Manka Mushi Promotion" ambayo inaandaa shindano la Miss Higherlearning 2009 akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa Miss Higherlearning John Bukuku ambaye ni kamanda mshika Camera wa Blogu ya Fullshangwe ambao pia ni wadhamini wa shindano hili kupitia http://www.fullshangwe.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment