.

.

.

.

Wednesday, June 17, 2009

POLE FRANCO MTUI

Muhidin issa michuzi (kushoto) alipomtembelea Franco Mtui hospitalini Nchini Afrika ya Kusini hivi majuzi ambako amelazwa baada ya kupooza mwili kufuatia ajali aliyopata shambani kwake mbezi jijini Bongo na kuvunjika mshipa wa shingo, Kulia ni Kaka wa mgonjwa Nd. Deogratias Mtui
Picha kwa hisani ya michuzi blog.

1 comment:

  1. kwa kweli hii habari inasikitisha sana ila sina cha zaidi ya kumwombea mungu ndugu yangu franco. Miaka ya 90 tuliishi wote mtaa mmoja nakumbuka mapati yote tulienda wote mie na ndugu zangu na yeye na ndugu zake hata pati zote kwao sikukosa. so kwa leo kuona hii nimeshtuka sana. Wote yeye na x-wife wake nawafahamu sana.

    POLE SANA BRO, HANG IN THERE AND STAY STRONG.
    Hugs and lots of Kisses, M

    ReplyDelete