.

.

.

.

Wednesday, June 17, 2009

MH.SHEIN NCHINI GABON

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha maombolezo Ikulu mjini Libreville Nchini Gabon kufuatia kifo cha Rais wa Nchi hiyo Marehemu Omar Bongo kilichotokea tarehe 8 Juni 2009 mjini Bacelona Hispania alikokuwa akitibiwa Marehemu Bongo anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Nchini Gabon.
Picha na mdau Amour Nassor wa ofisi ya makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment