.

.

.

.

Friday, June 26, 2009

MBILIA BEL ARUDI TENA

Msanii wa miondoko ya Zouk,Mbilia Bell akiwa na ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania ,Celine Njuju muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere,msanii huyo anatarajiwa jkufanya maonyesho kadhaa nchini ambapo leo jioni atafanya show kabambe mjini dodoma kwa ajili ya wabunge wa bunge la jamhuri la muungano wa Tanzania.

Picha Na Zain .

No comments:

Post a Comment