.

.

.

.

Sunday, June 21, 2009

MISS DAR CITY CENTRE 2009


Mtangazaji wa kituo cha Eatv, cha jijini Dar es Salaam, Maimartha Jesse (mwenye shati la bluu) akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo wanaogombea Taji la Miss Dar City Centre Juni 26 mwaka huu, mara baada ya kuwatembelea kwenye kambi yao iliyopo Lamada Hotel jijini Dar es Salaam.
SOURCE: GPL

No comments:

Post a Comment