
Mshindi wa
Vodacom Miss Kigamboni 2009 Karne Lukule (kati) akiwa na washindi wenzake
Irene Chentopher (kushoto) ambaye alishika nafasi ya pili na
Samirah Kafunda aliyeshika namba Tatu shindano hilo liliandaliwa na Kampuni ya Bongo5 Entertiment. na lilifanyika kwenye ukumbi wa Meese Resort Kigamboni
No comments:
Post a Comment