.

.

.

.

Saturday, June 27, 2009

SHEIKH SULEIMANI GOROGOSI AFARIKI DUNIA


HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU NA ZA KUTHIBITIKA KABISA ZINASEMA KWAMBA NAIBU MUFTI WA TANZANIA SHEIKH SULEIMANI GOROGOSI AMEFARIKI DUNIA KWA AJARI YA GARI.TAARIFA ZAIDI JUU YA KUFARIKI KWA SHEIKH GOROGOSI ZITAWAJIA NJISI TUTAKAVYOZIDI KUPATA HABARI

MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.

1 comment: