.

.

.

.

Saturday, June 13, 2009

TORY OSCAR MISS MOROGORO 2009

Miss Morogoro 2009 Tory Oscar akiwa katika picha ya pamoja na warembo wenzake, mara baada ya kushinda taji la mji huo kasoro bahari kulia ni mshindi wa pili Mariam Didi na Kushoto ni msindi wa tatu Shekha Washokera, shindano hilo lilifanyika kwenye Hoteli ya Masuka na washindi hao watawakilisha mkoa wa Morogoro katika shindano la kanda ya Mashariki picha kwa hisani ya John Nditi.

source:FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment