.

.

.

.

Thursday, June 04, 2009

UOPOAJI WA MV FATIH BADO !!!!

Hali ya uokoaji wa meli ya Mv Fatih bado inaendelea katika hatua ya awali kama inavyonekana katika picha hiyo jinsi inavyovutwa na tagi kutoka Tanzania bara na Zanzibar, Mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange pia alikuwapo, kazi inaendelea lakini kwa shida , maiti nyingi zinaelezwa kukwama katika meli hiyo na zimeonwa na waopoaji
picha na Haji Mtumwa, Zanzibar

No comments:

Post a Comment