.

.

.

.

Tuesday, June 23, 2009

VIGOGO WA VILONGA WATUA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakurugenzi watendaji wa mitandao ya simu za mikononi ya Zain, Zantel na Tigo leo jijini Dar. kutoka kushoto ni bwana Nabil Tofilis wa kutoka kampuni ya Zantel, Pablo Guardia Vasquez kutoka kapuni ya Tigo na Khaled Muhtadi kutoka kampuni ya Zain.

No comments:

Post a Comment