.

.

.

.

Thursday, June 04, 2009

WADHAMINI WAMIMINIKA MISS TANGA 2009

KAMPUNI ya usafirishaji inayojulikana kama Aucline Tours & Safari imeungana na wadhamini wengine waliojitosa kudhamini mashindano ya Miss Tanga 2009 ili kujitangaza zaidi kupitia msisimko wa mashindano hayo ngazi ya mkoa.Pamoja na kampuni hiyo wadhamini wengine mbalimbali waliojikita kudhamini mashindano hayo ni Kampuni ya simu ya mkononi Vodacom ambao wanasimama kama wadhamini wa kuu wa mashindano hayo na Redds Premium Cold kama wadhamini wakuu wa mkoa huo.Wengine waliojitokeza kudhamni mashindano hayo ni Benki ya CRDB tawi la Tanga, Sofia Production, Tanga Fresh, SD Supermarket, Karata Classic,Vayle Spring, Event Lights, Excel Music, Regal Naivera Hotel, Hotel Kolaprieto,Engusero Education Center, DarWorth, Redio Breez FM, Radio Mwambao,Dollywood Tanzania, Tanga beach reasort, Aurora security, Afrique RestaurantCostal Aviation na Najim Trans.

No comments:

Post a Comment