.

.

.

.

Wednesday, July 29, 2009

DIDA ATOBOA YA MAIMARTHA WA JESSE


Tukio hilo lilitokea usiku wa Julai 24, mwaka huu, katika Ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar es Salaam, ambapo siku hiyo kulikuwa na uzinduzi wa kundi jipya la muziki wa mwambao la 5 Stars Modern Taarab, Dida akiwa ndiyo Msema Chochote (MC).Katika hali ya kushangaza, Dida aliparamia jukwaa na Kusema maimartha na mpenzi wake P-Diddy wataoana karibuni baada ya P-Diddy kukamilisha kumtolea mahari yote Mai. “Ninatambua uwepo wa mtangazaji wa kituo cha Runinga cha Channel 5, Maimartha wa Jesse, Bi. harusi mtarajiwa. P-Diddy amekwisha kumtolea kila kitu yaani mahari yote… nakukaribisha mno, Bi. harusi wetu mtarajiwa,”alieleza Dida.Wakati Dida akitoa kauli hiyo, Maimartha ambaye alikuwa ameketi mbele kabisa ya jukwaa ‘front page’ sambamba na swahiba wake, Sauda Mwilima , mtangazaji wa Star TV, aliinama chini huku akitikisa kichwa kwa masikitiko ya kukanusha kauli hiyo ya Dida.Tukio hilo lilitokea usiku wa Julai 24, mwaka huu, katika Ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar es Salaam, ambapo siku hiyo kulikuwa na uzinduzi wa kundi jipya la muziki wa mwambao la 5 Stars Modern Taarab, Dida akiwa ndiyo Msema Chochote (MC).Katika hali ya kushangaza, Dida aliparamia jukwaa na kuanza kusasambusa siri za penzi la wawili hao kuwa muda wowote wataoana baada ya P-Diddy kukamilisha kumtolea mahari yote Mai. “Ninatambua uwepo wa mtangazaji wa kituo cha Runinga cha Channel 5, Maimartha wa Jesse, Bi. harusi mtarajiwa. P-Diddy amekwisha kumtolea kila kitu yaani mahari yote… nakukaribisha mno, Bi. harusi wetu mtarajiwa,”alieleza Dida.Wakati Dida akitoa kauli hiyo, Maimartha ambaye alikuwa ameketi mbele kabisa ya jukwaa ‘front page’ sambamba na swahiba wake, Sauda Mwilima , mtangazaji wa Star TV, aliinama chini huku akitikisa kichwa kwa masikitiko ya kukanusha kauli hiyo ya Dida.

Kwa Hisani ya GPL

No comments:

Post a Comment