.

.

.

.

Sunday, February 07, 2010

ALI KIBA APAGAWISHA EAST LONDON


























Alikiba msanii toka Tanzania jana alikonga nyoyo za mashabiki wa London baada ya kumwaga shoo la nguvu CLUBAFRIQUE ,klabu iliyoko mashariki ya jiji la London.Na kama kawaida ya shoo zake nyomi kubwa ilikuwa ni Maua ya kila aina katika kona za ukumbi huo.

2 comments:

  1. Is that Nilla my baby?
    I hope she is!! Jamani am so happy to see you Nilla!!! Show ilibamba kweli.

    Nilla please look for me.
    its me SHANGWE

    ReplyDelete
  2. dah jamani show inaelekea ilikua tamu sana ,kiba kaka unanikosha kichiz we upo juu

    ReplyDelete