.

.

.

.

Monday, April 18, 2011

SWIFTFREIGHTS - WAKALA WAKO WA USAFIRISHAJI MIZIGO UINGEREZA

swiftfreightsuk inapenda kuwakumbushia wateja wake kuwa hivi sasa imefungua tawi lake jipya EAST LONDON kwa huduma bora,zilizo za haraka na zenye uhakika .Tunasafirisha mizigo kwenda popote duniani. Tunaweza kukuletea kontena hadi mlangoni kwako popote ulipo hapa Uingereza na pia tu wakala wa DHL ambapo mzigo wako unafuatwa kwenye anuani yeyote Nchini.Tupigie simu utuambie mahitaji yako na tutakukupa bei zilizo nafuu.

KWETU MTEJA NI MFALME

No comments:

Post a Comment