.

.

.

.

Saturday, February 13, 2010

KAMWANO SABUNI AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Kamwano Sabuni anasikitika kutoa taarifa ya msiba wa mama yake mpendwa Asha Juma Waziri, uliotokea leo saa tisa alfajiri tarehe 13th February 2010 katika hospital ya Hindu Mandal Dar-es-salaam.


Mazishi yatafanyika mkoa wa Tabora na safari itaanza kesho tarehe 14th February 2010 alfajiri na msafara utaanizia Sinza kwa mjomba wa Kamwano Sabuni


Kwa mawasilianao zaidi mpigie Kamwano kwenye number hi +255776279327 na mkewe Kamwano ambea yuko London anapatikana kwenye no hizi +44 (0) 7960 007521, +44 (0) 7404 266658.


Pia kwa anaetaka kutoa mchango wake au rambi rambi zake tumia bank details zifuatazo,
Bank details Bank Name:- Natwest
Address: 104-110 Fore Street


Upper Edmonton
LondonN18 2XA
United Kingdom




Account Name: Samira S Baamar
Sort code 60-07-32
Account No. 47112999
IBAN: GB62 NWBK 6007 3247 1129 99
BIC: NWBK GB 2L




MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMEEN

No comments:

Post a Comment