.

.

.

.

Thursday, February 11, 2010

NGUZA VIKING NA PAPII WAFUNGWA MAISHA

Mahakama imewaachia huru watoto wawili wa Nguza Viking Francis Nguza na Nguza Mbango huku yeye mwenyewe Nguza Viking pamoja na mtoto wake papi kocha wakifungwa maisha , Watu wamesema kutokana na kutolewa kwa hukumu hiyo mpaka sasa njia inayoweza kuwaokoa ni kwa Mh. Rais kutoa msamaha kwa makosa waliyoyafanya ya kubaka .
Rufaa hiyo ilikuwa ikisikilizwa na Jaji Masati wa mahakama kuu ambapo hukumu hiyo imesomwa na Neema Chusi Naibu msajili wa mahakama ya Rufaa hukumu hiyo imewachanganya ndugu na jamaa zao hapa mahakamani wameshikwa na butwaa kwa kile kilichotokea wengi wao wanalia kwa uchungu.

No comments:

Post a Comment