.

.

.

.

Friday, April 23, 2010

MISS UNIVERSE 2010 KUPATIKANA USIKU WA LEO MLIMANI CITY

Warembo ishirini kutoka mikoa mbalimbali leo wanaratajiwa kutifuana kwenye shindano la kumtafuta mrithi wa taji la Miss Universe 2010/2011 ambalo mpaka sasa linakamatwa na Illuminata James.

Mratibu wa mashindano hayo, Mkurugenzi wa Campass Communication Ltd, Maria Sarungi amesema fainali za kumtafuta mnyange huyo zitafanyika leo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Conference Centre jijini Dar es Salaam.

Maria alisema kuwa kila kitu kimeshakamilika na pambano hilo linatarajiwa kuwa la aina yake kutokana na kila mrembo kuwa na vigezo vinavyokubalika.

No comments:

Post a Comment