Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akimkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha Rozi Migiro leo asubuhi.
Rais Jakaya Kikwete Akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha Rozi Migiro mara tu Baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam na Kufanya naye Mazungumzo Leo
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment