.

.

.

.

Thursday, July 08, 2010

UZINDUZI WA CLOUDS TV


Joe Kusaga na Ruge Mutahaba
Katikjjni mtangazaji wa Clouds Tv Zamaradi akiwa katika picga ya pamoja na Jaquline Wolper kushoto ni Mkurugenzi wa ASET AJsha Baraka.
Wanyange wa watakaoshiriki shindano la Miss Temeke Julai 9 kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe pia walikuwepo katika uzinduzi huo.
Kajala katikati akiwa na marafiki zake wakati wa uzinduzi wa nembo ya Clouds Tv uliofanyika kweye klabu ya Billicanas juzi usiku.
Kazi ikiendelea wakati wa uzinduzi wa nembo hiyo.
Wapiga picha wa Clouds Tv wakiwa kazini.

2 comments: