Lil'kim akikamua jukwaani na msanii Juma Nature
Mzee wa Aladji akiwaonyesha nyomi la Lidaz jinsi linavyosakatwa akiwa na madansa wake jukwaani.
Wazee wa Yori Yori wakipagawisha ndani ya fiesta jipanguse.
Lil'Kim na madansa wake wakishambulia jukwaa Leaders club Grounds usiku wa kuamkia leo
Mimambo ndiyo hiyo,tuyaone na tujifunze, kwani vitu ni vilevile na vipaji ni vilevile, je sisi hatuwezi, labda tatizo ni kuiga
ReplyDeleteNi kweli namuunga mkono huyu aliyesema tatizo letu tumezidi kuiga tunashindwa kuunda vitu vyetu wenyewe kuanzia muziki,mavazi mpaka namna ya kucheza hapo majukwaani.
ReplyDelete