.

.

.

.

Saturday, August 21, 2010

HAPA NA PALE KWA MAMISS WETU 2010

Wakiserebuka mjini Hai ndani ya Snow View Hotel
Pozi Snow View Hotel mjini Hai

Pozi na manjonjo walipotembelea Daraja la Mto WAMI
wakimpatia chandarua cha kujizuia na mbu Herieth masawe ambaye amelazwa hospitali ya marangu,Moshi ikiwa ni kutekeleza kaulimbiu ya Malaria Haikubaliki.

No comments:

Post a Comment