Tanzania Miss Universe 2010(kulia) katika pozi na picha za ufukweni
MREMBO wetu Hellen Dausen, Miss Tanzania 2010 (kushoto) akiwa na wenzake wakiwasili Mirage, Las Vegas kurekodi filamu ndogo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mashindano ya Miss Universe 2010 yatakayo fanyika Agosti 23 na kurushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha NBC Television Network kutoka Mondalay Bay Hotel and Casino mjini Las Vegas, Nevada at 9 PM ET.
No comments:
Post a Comment